Random Posts
Wednesday, 23 March 2016
Tuesday, 22 March 2016
SIKU TATU ZA MATENDO MAKUU YA YESU T.A.G - ICC LUGALO
Mch. Songwa Kazi (Mchungaji kutoka T.A.G Forest Kongowe Dar es Salaam)
HUDUMA YA LIFE CHANGING MINISTRY INTERNATIONAL (LCM) ILIYOPO CHINI YA MKURUGENZI NA MWASISI WA HUDUMA HII, MCHUNGAJI SONGWA KAZI AMBAYE NI MCHUNGAJI WA KANISA LA TAG FOREST KONGOWE LILILOPO JIJINI DAR ES SALAAM AKIWA NA TIMU YAKE NZIMA YA LIFE CHANGING MINISTRY INTERNATIONAL (LCM).
HUDUMA YA LIFE CHANGING MINISTRY INTERNATIONAL (LCM) ILIYOPO CHINI YA MKURUGENZI NA MWASISI WA HUDUMA HII, MCHUNGAJI SONGWA KAZI AMBAYE NI MCHUNGAJI WA KANISA LA TAG FOREST KONGOWE LILILOPO JIJINI DAR ES SALAAM AKIWA NA TIMU YAKE NZIMA YA LIFE CHANGING MINISTRY INTERNATIONAL (LCM).
WAKISHIRIKIANA NA KANISA LA TAG ICC
LILILOPO LUGALO MANISPAA YA IRINGA WAMEANDAA SEMINA YA SIKU TATU KWA WATU WOTE ITAKAYO HUSU KUBOMOA MISINGI MIBAYA NA KUJENGA MISINGI
MIPYA YA YESU KRISTO KATIKA ENEO LA MAHUSIANO(UCHUMBA), UTUMISHI NA WITO WA MUNGU KWA MKRISTO.
SEMINA HIYO ITAANZA TAREHE 25/03/2016
SAA 9:OO ALASILI HADI 12:OO JIONI NA
ITAENDELEA USIKU WA IJUMAA HIYO KATIKA MKESHA
UTAKAOANZA SAA 3:00 USIKU, NA TAREHE 26/3/2016 SEMINA HIYO ITAANZA SAA 9:00 ALASILI HADI 12:00 JIONI NA KUHITIMISHWA TAREHE 27/3/2016 KATIKA IBADA
YA JUMAPILI YA PASAKA KUANZIAA SAA 2:00
ASUBUHI HADI SAA 7:00 MCHANA.
SEMINA HIYO ITAFANYIKA KATIKA KANISA LA
TAG-ICC LILILOPO LUGALO MANISPAA YA IRINGA KWA KATIBU WA TAG JIMBO LA IRINGA
MCHUNGAJI RAPHAEL JARUFU KITINE AMBAYE NI MWENYEJI WA TIMU HIYO YA (LCM).
LENGO LA KONGAMANO NA SEMINA HIYO NI
KUIJENGA MISINGI YA VIZAZI VINGI ISAYA 58:12-14 NA ZABURI 11:3.
KWAYA NA WAIMBAJI BINAFSI WATAHUDUMU
KATIKA SEMINA HIYO,”NI SIKU TATU ZA MATENDO MAKUU YA MUNGU”.NJOO UPATE MAARIFA
YA NENO LA MUNGU KWANI “UFAHAMU NI NGUVU”.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NO
0757-567899/0767-354777 AU PIGA SIMU NO 0755-974279 KWA MKURUGEZI WA VIJANA
CA’S SEHEMU YA MANISPAA YA IRINGA EZEKIELI FUNGO KWA MAELEKEZO ZAIDI JUU YA
KONGAMANO NA SEMINA HIYO.
Wednesday, 3 February 2016
NYUMBA INAUZWA! NYUMBA INAUZWA! NYUMBA INAUZWA!
Shalom Wapendwa katika Bwana.
Picha juu ni muonekano wa Nyumba inayouzwa.
Napenda kuwajulisha kuwa kuna Nyumba inauzwa, ipo Dodoma mjini, Area A - Chinangali West.
> Nyumba ipo katika hali nzuri;
> Ipo karibu na barabara;
> Area A, Chinangali West;
> Ina Vyumba vitano vya kulala;
> Ina eneo la kutosha;
> Bei maelewano
Kwa taarifa zaidi naomba tuwasiliane kwa namba za simu 0767354777.
Upatapo taarifa hii tafadhali mjulishe na mwenzio, ndugu, jamaa na marafiki.
Subscribe to:
Posts (Atom)