Kanisa la Iringa Central Church (ICC) Linapatikana katika Manispaa ya Iringa eneo la Lugalo.
UONGOZI WA KANISA:
* Mchungaji Kiongozi: Mch. Raphael Kitine;
* Mchungaji wa Idara ya Watoto na Wanafunzi: Mrs. Roswita Kitine;
Baraza la Wazee:
* Mzee Kiongozi:
- Mh. Mwl Given Lemway;
* Wazee wa Kanisa:
1) Mrs. Imelda Makombe;
2) Mwl. Ezekiel Fungo;
3) Mrs. Upendo Mgeni;
4) Mrs. Eva Makombe;
Katibu Mkuu:
Ev. Oscar Mwanjala;
Katibu Msaidizi:
Mr. Silus Msola
Shalom!
ReplyDeletebarikiwa kwa kazi nzuri unayoifanya!Tunaomba utuwekee na picha za viongozi nadhani itakuwa ni kitu kizuri!
Barikiwa
Ubarikiwe! Nashukuru kwa Ushauri, nitaufanyia kazi
ReplyDelete