Karibu katika Jukwaa hili la Ijue Biblia, tunakaribisha maswali mbalimbali yanayohusiana na Biblia, pia hoja mbalimbali zitakazosaidia kuijua Biblia kwa undani.
Naanza na swali ambalo msingi wake upo katika Luka 16:19-31. Kifungu hiki kinahusu habari ya Lazaro na Tajiri, kutokana na kifungu hicho hebu tujadiliane maswali yafuatayo;
1. Kuna kuzima za ana ngapi?
2. Mtu aliyeokoka akifa kwa wakati huu ambao bado Yesu hajarudi, anakwenda wapi?
Nategemea kupata michango ya mawazo. Mungu akubariki.
1.Mi ninavyoelewa kuzimu ipo moja tu alipo shetani na wafuasi wake.
ReplyDelete2. Mtu aliyeokoka akifa kwa sasa anaenda pkupumzika peponi?