Shalom Wapendwa katika Bwana.
Picha juu ni muonekano wa Nyumba inayouzwa.
Napenda kuwajulisha kuwa kuna Nyumba inauzwa, ipo Dodoma mjini, Area A - Chinangali West.
> Nyumba ipo katika hali nzuri;
> Ipo karibu na barabara;
> Area A, Chinangali West;
> Ina Vyumba vitano vya kulala;
> Ina eneo la kutosha;
> Bei maelewano
Kwa taarifa zaidi naomba tuwasiliane kwa namba za simu 0767354777.
Upatapo taarifa hii tafadhali mjulishe na mwenzio, ndugu, jamaa na marafiki.