Monday, 20 April 2020

Je, Unaona nini kuhusu corona? na Mch. Raphael Kitine



Kwasasa virusi vya corona (COVID-19), vimekuwa tishio kila eneo duniani. Watu wamekosa tumaini kabisa. Kupitia ujumbe huu Mch.Raphael Kitine amekuandalia somo hili maalum kabisa litakalo kusaidia kukuza imani yako ya namna unavyo mwamini Mungu.