Shalom!
Mungu ni mwema wakati wote.
Kuelekea mwisho wa mwaka 2014, Kanisa la T.A.G - I.C.C limeandaa Semina ya Neno la Mungu katika kumaliza mwaka huu. Semina hii itaambatana na maombi ya kufunga na kuomba; Ni kila Siku saa kumi kamili jioni kuanzia tarehe 26/12/2014 hadi tarehe 31/12/2014.
Tafadhali usikose Semina hii muhimu sana, MUNGU akubariki.
Mchungaji Kiongozi wa ICC Mch. Raphael Kitine akihudumu katika madhabahu ya ICC
No comments:
Post a Comment