Saturday, 18 February 2017

KUABUDU ICC LUGALO: Nikufananishe na Nani 1



Zaburi 89:6
Maana ni nani katika mbingu awezaye kulinganishwa na Bwana? Ni nani afananaye na Bwana miongoni mwa malaika?

Thursday, 16 February 2017

SIFA ICC LUGALO: Bwana wa Majeshi 2



Zaburi 117:1
Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, Enyi watu wote, mhimidini

SIFA ICC LUGALO: Bwana wa Majeshi 1



Isaya 51:16
Bwana wa majeshi ndilo jina lake. Nami nimetia maneno yangu kinywani mwako, nami nimekusitiri katika kivuli cha mkono wangu, ili nizipande mbingu, na kuiweka misingi ya dunia, na kuuambia Sayuni, Ninyi ni watu wangu.

Wednesday, 15 February 2017

SIFA: Jina la Yesu 3



Shalom!

Karibu sana T.A.G ICC Lugalo. Tupo Iringa Manispaa, jirani na Shule ya Sekondari Lugalo.
Kwa Mawasiliano zaidi waweza kutupigia kwa namba za simu zifuatazo: +255767354777; +255784354777; +255715354777.

Mungu Akubariki.

SIFA: Jina la Yesu 2



Shalom!

Karibu sana T.A.G ICC Lugalo. Tupo Iringa Manispaa, jirani na Shule ya Sekondari Lugalo. Kwa Mawasiliano zaidi waweza kutupigia kwa namba za simu zifuatazo: +255767354777; +255784354777; +255715354777.

Mungu Akubariki.

SIFA: Jina la Yesu 1



Shalom!

Karibu sana T.A.G ICC Lugalo. Tupo Iringa Manispaa, jirani na Shule ya Sekondari Lugalo.
Kwa Mawasiliano zaidi waweza kutupigia kwa namba za simu zifuatazo: +255767354777; +255784354777; +255715354777.
Mungu Akubariki.

Tuesday, 14 February 2017

ICC LUGALO - FAMILY DAY 2017

Shalom!

Heri ya Mwaka Mpya 2017.

Karibu katika Blog yetu ya Kanisa la T.A.G ICC Lugalo. Siku ya Mwaka Mpya (Tarehe 01/01) kwa kila Mwaka huwa ni Siku Maalumu ya Familia kwa Kanisa letu, ambapo Waamini wote pamoja na Familia zao hula na kunywa pamoja na kubadilishana mawazo.

Karibu ushuhudie siku hiyo ilivyokuwa kwa Mwaka huu wa 2017 yaani Tarehe 01/01/2017. Ilikuwa ni siku njema yenye Baraka sana kwa wote walioshiriki. Kama uliikosa Family Day ya Mwaka huu 2017 usiiokose ya mwakani (01/01/2018). Mungu Akubariki.