Shalom!
Heri ya Mwaka Mpya 2017.
Karibu katika Blog yetu ya Kanisa la T.A.G ICC Lugalo. Siku ya Mwaka Mpya (Tarehe 01/01) kwa kila Mwaka huwa ni Siku Maalumu ya Familia kwa Kanisa letu, ambapo Waamini wote pamoja na Familia zao hula na kunywa pamoja na kubadilishana mawazo.
Karibu ushuhudie siku hiyo ilivyokuwa kwa Mwaka huu wa 2017 yaani Tarehe 01/01/2017. Ilikuwa ni siku njema yenye Baraka sana kwa wote walioshiriki. Kama uliikosa Family Day ya Mwaka huu 2017 usiiokose ya mwakani (01/01/2018). Mungu Akubariki.
No comments:
Post a Comment