NI USIKU WA KUSIFU NA KUABUDU MUBASHARA UKUMBI WA ST. DOMINIC (IRINGA)
Shalom Wapendwa katika Bwana. Zaburi 150:6
Napenda kutumia Fursa hii kuwaalika watu wooote katika
Mkesha Mkubwa wa Kusifu na Kuabudu. Mkesha utafanyika katika Ukumbi wa St.
Dominic (Iringa Mjini) siku ya Ijumaa Tarehe 07/04/2017 kuanzia 12:00 Jioni
hadi 12:00 Alfajiri. Hakuna Kiingilio ni Bureeee.
Mkesha huu unaandaliwa kwa ushirikiano wa Kanisa la T.A.G
ICC Lugalo na Kikundi cha New Life Band toka Arusha. Upatapo ujumbe huu
wajulishe na wengine. New Life Band wakishirikiana na Mass Choir toka ICC
watatuongoza katika kusifu na kuabudu. Pia Vikundi mbalimbali vya Uimbaji na
Waimbaji binafsi watakuwepo.
Usipange kukosa, itakuwa ni kusifu na kuabudu MUBASHARAA..
Kumbuka kwamba Mungu wetu anapendezwa na sifa. Kusifu kunawapasa Wanyoofu wa
Moyo. Zaburi 33:1; 35:18; 86:12; 147:1; Isaya 38:19
Mungu AKubariki.
Kwa mawasiliano Tupigie namba zifuatazo: 0784354777;
0767354777; 0715354777.
No comments:
Post a Comment