Ukumbi unaotumiwa na ICC Sabasaba kabla ya kuanza Ibada.
Mchungaji Kiongozi wa ICC Rev. Raphael Kitine akiwa Madhabahuni ICC
Waamini wa ICC wakifuatilia mafundisho kwa umakini mkubwa.
Mchungaji Kiongozi wa ICC Mch. Raphael Kitine akishiriki kikamilifu Ibada ya kusifu na kuabudu
ICC Sabasaba katika wasaa wa kusifu na kuabudu
No comments:
Post a Comment