Monday, 13 April 2015

YAMETIMA ICC - 2015 NI MWAKA WA KUTOKA

Shalom Shalom Shalom!!

Hayawi hayawi sasa Yamekuwa.

Hatimaye Bwana amesikia kilio cha wana ICC, 2015 ni mwaka wetu wa kutoka.

Sifa na Utukufu kwa Bwana Mungu, aketiye mahali pa juu sana palipo tukuka.

2015 YAMETIMIA...
YAPI!!!!???

Mungu amejibu kilio na maombi ya Wana ICC, ni zaidi ya miaka 14 Wana ICC tumemuomba Mungu atupe mahali pa kudumu kwa kuabudia. Hatimaye, 2015 Yametimia, Tumepata mahali kwa kumwabudu Mungu kwa Uhuru 100%.
2015 Tunatoka.....
Sifa na Utukufu kwa Mungu.

Kwa Taarifa zaidi,
Stay tuned.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za Ibada ya Jana baada ya Mchungaji Kiongozi, Mch. Raphael Kitine kutangaza rasmi kuwa YAMETIMIA, 2015 ni mwaka wa kutoka. Waliovalia Black & White ni Wajumbe wa Kamati ya Ujenzi wa Kanisa (ICC).
Picha za Wanana ICC wakiwa na furaha tele baada ya kutangaziwa kupatikana kwa eneo la kudumu la kuabudia.


No comments:

Post a Comment