Sunday, 8 June 2014

MAADHIMISHO YA JUBILEE YA MIAKA 75 YA T.A.G HAPA ICC YAPENDEZA SANA

Kanisa la ICC leo limefanya hitimisho la maadhimisho ya Wiki ya Jubilee ya Miaka 75 ya T.A.G, pia miaka 13 tangu kuanzishwa kwa Kanisa hili. Maadhimisho haya yamefana kupita maelezo.

Ibada ilikuwa njema, angalia matukio katika picha, taarifa kamili itawajia hapahapa!









Stay tuned kwa taarifa kamili.

2 comments:

  1. this is great Inatia moyo sana kuona watu waMungu wakiwa pamoja

    ReplyDelete
  2. na viideo kama munayo tunaomba mutuwekee hata kipande tu

    ReplyDelete