Shalom!
Mungu ni mwema, Hatimaye tupo ICC Lugalo.
Karibu sana, na Mungu Akubariki.
Tafadhali wajulishe na wengine.
Picha zifuatazo zitakusaidia kufika tulipo sasa, ICC Lugalo, kwa wale ambao hawapafahamu.
Hapa Ndio ICC Lugalo, Mchungaji Kiongozi, Mch. Raphael Kitine akiwa mlangoni kukaribisha Waamini wa ICC katika Eneo letu Jipya.
Unaweza kujiuliza, NITAFIKAJE!!
Fuata maelekezo kwa njia ya picha.
Kwa Kiasi fulani mchoro huu utakusaidia kufika ICC Lugalo. Unapotoka popote Iringa hii Panda Gari zinazopita Barabara ya Dodoma, kisha shukia kituo cha Lugalo Sekondari na ufuate huu mchoro.
No comments:
Post a Comment