Tamasha la Michezo la CMF lilipendeza sana, lakini si wadau wote tulifanilkiwa kufika katika Viwanja vya Kleruu. Kutokana na sababu hiyo nimeona niweke video za baadhi ya Matukio ya siku hiyo.
Jionee mwenyewe baadhi ya Matukio katika Video.
1. Kuvuta Kamba: ICC Vs Mkimbizi
> Jionee mwenyewe jinsi ICC tulivyo waburuta Mkimbizi.
2. Shindano la Kukimbiza Kuku:
3. Shindanola Kula:
4. Soka:
(i) Utambulisho:
Stay tuned, Video nyingi zaidi utazipata hapahapa, usitoke usiondoke!! Magoli yote yalivyofungwa katika soka utayaona pia.
No comments:
Post a Comment