Hatimaye kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya CMF imefika. Leo hii Wanaume wa ICC wameungana na wenzao wa Tanzania nzima kuadhimisha sikuu hiyo. Baadhi ya matukio ya Leo ni kama ifuatavyo;
Viongozi wa CMF ICC wakiwa akatika Picha ya pamoja na Mchungaji Kiongozi; Kutoka kushoto ni Mr. Emmanuel Damalo (Mwenyekiti); Mr. Respicius Kahabuka (Makamu Mwenyekiti); Mr. Gerald Malecela (Katibu); Mch. R Kitine (Mchungaji Mlezi); Mr. Chanai Emmanuel (Mtunza Shekeli) na Mr. Edom Fungo (Mtunza Shekeli Msaidizi)
Zifuatazo ni picha za baadhi ya Wanaume wa ICC:
Kulikuwa na Bonge la Standup Comedy toka kwa pair mbili; Pair ya Kwanza Mr. Damalo & Gerald; Pair ya pili Mr. Edom & Barnaba.
Ilikuwa balaa, watu walicheka mpaka bhaaass!
No comments:
Post a Comment